Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Aliyetaka kuimba wimbo wa kupinga ubaguzi kwenye sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump ajitoa kwenye show baada ya mchongo kugundulika….

By  | 

Msanii kutoka Uingereza Rebecca Ferguson amejitoa kwenye orodha ya wasanii waliopangwa kufanya show kwenye sherehe za kuapishwa kwa Donald Trump kama rais wa Marekani baada ya kugundulika alikuwa na mpango wa kuimba wimbo wa kupinga ubaguzi wa rangi.

Rebecca Ferguson  alipanga kuimba wimbo ‘Strange Fruit‘ ulioandikwa miaka ya 1930 kama wimbo wa kupinga ubaguzi wa watu weusi na uliimbwa na Billie Holiday.

Wimbo huu unamashairi kama ‘Blood on the leaves and blood at the root, Black bodies swinging in the southern breeze, Strange fruit hanging from the poplar trees.

Waandaji wa show hio walijua wimbo huo hautafaa kwaajili ya sherehe hio na kukubali staa huyu ajitoe mwenyewe.
Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments