Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Hii video mpya ya Rick Ross Ft 2 Chainz na Gucci Mane ‘Buy Back the Block’ Enjoy..

By  | 

Rick Ross ameanza kutoa nyimbo kutoka kwenye album yake mpya na sasa ni colabo yake na 2 Chainz na Gucci Mane “Buy Back the Block.”

Kwenye video ya wimbo huu anaonekana Meek Mill, 21 Savage, Rozay’s son, na ATL residents. Wimbo wa “Buy Back the Block” ndio wimbo wa kwanza kutoka kwenye album ya Rick Ross chini ya Epic Records  Rather You Than Me,inayotegemewa kutoka 2017.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments