Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Producer aliyefunga ndoa akiwa amelewa aomba mahakama kuifuta ndoa hio….

By  | 

Producer na Mdau mkubwa wa muziki duniani Scott Storch ameomba mahakama ifute ndo yake aliyofanga usiku wa June 7 2011 akidai hakuwa na fahamu kabisa.

Scott Storch amedai kuwa alifunga ndoa akiwa amelewa sana na kwamba hakujua alichokuwa anafanya wakati anafunga ndoa hio ikiwa ilifanyika usiku wa manane.

Scott Storch alifunga ndoa na mwana dada Christina Gray na kusema “I do” mnamo June 7, 2011 ila baada tu ya saa 24 waliachana na mpaka leo hawajawahi kukutana au kuongelea jambo hilo.

Scott amekiri kuwa yeye na Christina walikuwam wamelewa sana kiasi cha kwamba ata alisahau walifunga ndoa mpaka alipokuta karatasi alizopewa usiku huo miaka mitano baadae.

Scott Storch ni producer wa wasanii wakubwa kama Fat Joe,  50 Cent, The Game, T.I., Chris Brown, Christina Aguilera, Dr. Dre, Nas, Lil Wayne, Snoop Dogg, Jessica Simpson, Belly, Mýa, na Pink.

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments