Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Itazame hapa video mpya ya Songa Ft Jay Moe ‘Mwendo Tu’ Enjoy…

By  | 

Rapa Songa ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Mwendo Tu’ akiwa na mkongwe wa rapa muziki Tanzania, Jay Moe. Video imeongozwa na Destro kutoka kampuni ya Wanene Entertainment Dar es salaam Tanzania.

Bonyeza Play kuitazama video….

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments