Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Mwigizaji Sylvester Stallone ‘Rambo’ apiga chini ofa ya kufanya kazi kwenye Serikali ya Donald Trump.

By  | 

Mwigizaji mkongwe Sylvester Stallone maarufu kama Rambo amekata kufanya kazi chini ya Serikali ya Donald Trump.

Wiki iliyopita palikuwa na taarifa kuwa kuwa Rambo amepewa nafasi kwenye Ofisi ya Serikali ya kutoka pesa kwa vijana wenye mawazo mazuri kwenye mambo ya sanaa Marekani ‘National Endowment for the Arts (NEA)‘.

Rambo anasema alifurahi kusikia kuwa amtajwa kwaajili ya nafasi hio ila amekata sababu ana imani anaweza kufanya jambo zuri zaidi kwa wanajeshi wanaorudi nyumbani kwa sasa nchini Marekani kwa kuwatafutia kazi, sehemu ya kuishi na kuwapa nafasi ya kuwa pamoja na familia na jamii zao.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments