Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

T.I. na Meek Mill wajichanganya na raia kwenye mandamano ya kupinga Donald Trump Kuwa Rais.

By  | 

Ukiachan baadhi ya raia kuandamana kupinga Donald Trump kuchaguliwa kuwa rais, wasanii wakubwa wawili wameonekana mtaani wakiunga mkono maandamano hayo.

Rapa T.I. na Meek Mill walikuwa mtaani wakiunga mkono harakati za “Not My President” zinazoendelea Marekani kwa siku mbili mfululizo.

T.I alisema “This ain’t supposed to be how people react to the election of a president,This ain’t what we built up on, man. This ain’t what we about. This is some bullshit.” akimaanisha “Hizi sio hisia sawa za watu baada ya uchaguzi wa rais wao, sio kitu tulichojenga, sio mambo yetu haya

Watu waliokuwa karibu na T.I walikuwa wakisema Hillary Clinton kapata kura nyingi zaidi.

#StoriBy Melisa
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments