Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Rapa T.I atoa sababu ya kubadilisha jina la kisanii na kuandamana kupinga Donald Trump kuwa Rais.

By  | 

Rapa T.I. amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kitendo chake cha kuandamana na raia mtaani kupinga uchaguzi wa Donald Trump kuwa rais nchini Marekani.

T.I anasema “Mtu mwenye akili lazima atajua kuwa kuandamana hakubadilishi kitu hapo hapo, ila nataka siku moja niwaangalie watoto wangu usoni na kuwaambia nilifanya kila lililowezekana chini ya katiba kupinga urais wa mtu flani

Pia T.I. ametoa sababu za kubadilisha jina lake kutoka kuitwa TIP Na kutumia T.I tu ili asichanganye mashabiki kutokana na jina la msanii mwingine kuitwa Q-Tip.

T.I anasema kubadilisha jina kulimpa mtazamo na hisia tofauti,

#StoriBy Melisa
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments