Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Kauli ya mwishi ya T.I Kuhusu kuachana na mke wake Tiny.

By  | 

Kwneye interview ya radio na Yung Joc, rapa T.I. ameulizwa kwa mara ya mwisho juu ya tetesi za kuachana na mke wake Tiny baada ya mwana mama huyo kuomba talaka wiki chache zilizopita.

T.I.alimbadilikia Yung Joc huku akisisitiza kuwa mambo ya talaka kati yake na mke wake sio sehemu ya mashabiki kujua kabisa.

JOC: “I don’t want to see you and Tiny split, man!”

T.I.: “That ain’t your business, man.”

JOC: “You right, it ain’t. But we on the air right now, people want to know.”

T.I.: “I know we on air, and I’m telling you on air that it ain’t your business.”

Joc aliachana na T.I bila kumlazimisha ajibu tena swali hilo….

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments