Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Msanii wa Jay Z amsifia Kanye West kwa kukutana na rais Donald Trump.

By  | 

Staa wa R&B The-Dream amempa pongezi rapa Knaye West kwa kuwa na ujasiri wa kukutana na Donald Trump.

The Dream anasema anampe heshima Kanye West kwa jambo hilo na anampe ushauri bosi wake Jay Z pia kufanya jambo hilo la kukutana na rais Donald Trump.

The Dream anasema alimpoa ushauri Jay Z kuhusu kukutana na makamanda wa polisi wa miji tofauti wakati wa mauwaji ya watu weusi yaliyofanywa na polisi sababu ndio kazi ya kiongozi kama Jay Z.

The Dream pia amelalamikia tabia ya Kanye West ya kumpotezea ata baada ya kumpigia simu zaidi ya mara moja kabla na baada ya kupata matatizo ya akili na msongo wa mawazo.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments