Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Hakuna beef kati ya Wale na J Cole ata baada ya mashairi makali kwenye Eyez ya Cole….

By  | 

Baada ya makala mpya ya J Cole kutoka ikiwa na mashairi makali kwa wasanii tofauti kama Drake, Kanye West, rapa Wale ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kuhusishwa na baadhi ya maneno makali kwenye album hii mpya ya J Cole.

Wale amehusishwa na neno “False Prophets,” kutoka kwenye makalia hio ya J Cole na inasemekama majibu ya Diss hio yapo kwenye wimbo mpya wa “Groundhog Day.” wa Wale…..

Wale amejibu kwa kulalamika kuwa yeye na J Cole walikuwa karibu na Jay Z ila yeye hakuonekana na baadae hata kutengwa wakati wa kurekodi BluePrint na Jay Z akampa colabo J Cole kwenye ‘Star Is Born’.

“I know since I got my deal and his shit got real, I ain’t been the easiest ni**a to deal with, “I’m heavily flawed, but far from a false prophet, I remember me and Cole would open for Hov, Everyday a star is born, I guess I died in the womb / I ain’t make it on Blueprint, so made me a blueprint / You got you a nice watch, my minutes was finished / I was lost at Interscope.”

Ila weekend hii wawili hawa walikuwa kwenye mecho moja ya mpira wa kikapu na walikaa pamoja….

Album ya J Cole ‘4 Your Eyez Only’ ipo mtaani December 9 2016 na Wale anatoa album yake S.H.I.N.E. mwaka 2017.

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA KUIPATA SAMMISAGO.COM KWENYE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments