Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Nyimbo mbili za wasanii wa Nigeria Wizkid na Runtown zaingia kwenye chati ya Billboard USA…..

By  | 

Wimbo wa Nigerian pop staa WizkidDaddy Yo” na Runtown  “Mad Over You” zimefanikiwa kuingia kwenye chati kubwa ya muziki ya Billboard USA kupitia Billboard Twitter Top Tracks Chart.

Wimbo wa “Mad Over You” ya RunTown ilitoka November 2016 na “Daddy Yo” ya WEizKid ilitoka December 2016.

Rekodi ya ‘Daddy Yo’ imeshikilia namba 31 na “Mad Over You”  ipo namba 38 katika nyimbo 50

Wimbo wa msanii wa Afrika kutokea kwenye Billboard ni big deal mwaka 2017 na tayari Wizkid na Runtown na hii ni mara ya pili WizKid anatokea kwenye billboard, ila ni mara ya kwanza anatokea kama Solo Artist.

Pia WizKid amethibitisha mwaka huu atatoa mixtape Nne. Kupitia twitter yake yenye mashabiki milioni 2 WizKid amesema mwaka 2017 anatoa mixtape nne na moja atafanya na rafiki yake Wande Coal.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments