Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Maximilian Rioba azungumzia kumfukuza Young Dee nyumbani kwake.

By  | 

Aliyekuwa mlezi na meneja wa rapa Young DeeMaximilian Rioba‘ amezungumzia  kumfukuza Young Dee nyumbani kwake wiki chache zilizopita na kusema sababu ilikuwa Utovu Wa Nidhamu.

Kwenye #FridayNiteLive na #Sammisago Max alisema “Sijamfukuza Young Dee, nilimwambia aondoke tu,kumfukuza inamaana Kick SomeOne Out,nilimwambia Walk Away,tena kwa amani kabisa nika mwambia mdogo wangu, mwanangu Just Walk Away, Leave me alone, hakujibu chochote, sijui anaishi wapi,I Think He is Ok“.

Young Dee ametengana na meneja wake huyu ikuwa ni miezi michache tu baada ya kurudishwa kwenye lebo ya Max ya MDB.
Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments