Ad: tangaza na sammisago.com - sammisago@yahoo.com Ads Separator

Entertainment

Picha,Baada ya kupata sifa nyingi kutoka kwa wavuta bangi, aliyebadilisha maneno HOLLYWOOD na kuandika HOLLYWEED ajisalimisha polisi….

By  | 

Kijana aliyebadilisha maneno makubwa yanayosema HOLLYWOOD na kuandika HOLLYWEED amekamatwa na polisi baada ya kujisalimisha kwenye kituo kimajo cha polisi mjini Los Angeles.

Zach Fernandez alijisalimisha kwenye mikono ya LAPD kituo cha Hollywood akiwa na wakili wake, alishikiliwa kwa saa chache akihojiwa na baadae kutoka kwa thamana.

Zach alibadilisha maneno HOLLYWOOD na kuandika HOLLYWEED kwenye usiku wa mwaka mpya na kupata sifa nyingi kutoka kw wavuta bangi wenzake..

Ben Pol azungumzia mafanikio ya wimbo wa #Darassa, kutotajwa kwenye sifa nyingi za wimbo huo, Mpango wake wa kuacha kuimba RNB.

Tazama na Sikiliza Stori zote kutoka kwa #Sammisago YOUTUBE >INSTAGRAM >FACEBOOK > TWITTER

Comments